Hizi redio natoa kwa bei ya ofa kwa watu wa daladala watu wa gari ndogo wasiopenda heka heka kwa watu wa bajaji redio zenu hizi hapa hizi ni sterio sio android zinapiga usb flash aux fm mobile phone conect nazitoa bei ya ofaa kwa punguzo kubwa hizi redio ni imara sana chukua nenda katumie nilenda kauze ninazo JVC SONY PIONEER wahi sasa ziko chache