Umeziona Bati Muundo Wa Kigae Chengachenga? Basi Ndiyo Hii Hapa.
1/2
Dar es Salaam, Temeke, 6 hours ago
10 views
Umeziona Bati Muundo Wa Kigae Chengachenga? Basi Ndiyo Hii Hapa.
+1
Other
Type
Ni nzuri, unavutia sana machoni na uimara wa hali ya juu sana. Hii bati utaipata kwa rangi mbalimbali ikiwemo hii ya charcoal grey, tena utaipata Kwa gharama nafuu sana. Karibu sana nikuhudumie.