Ramani Na Nyumba Kama Hii Itahitaji Roofing Materials Imara Zaidi
Dar es Salaam, Temeke, 9 hours ago
44 views
Ramani Na Nyumba Kama Hii Itahitaji Roofing Materials Imara Zaidi
+1
Other
Type
Raha ya nyumba iwe na muonekano mzuri iliyojengwa Kwa material yaliyo Bora zaidi. Kama ni bati ya kigae basi iwe ya kigae haswaa na iliyobora. Tafadhali karibu kwangu nikuhudumie Kwa gharama nafuu kabisa.