Ipendezeshe Nyumba Yako Na Bati Nzuri Za Mgongo Mpana
1/2
Dar es Salaam, Temeke, 10 hours ago
9 views
Ipendezeshe Nyumba Yako Na Bati Nzuri Za Mgongo Mpana
+1
Other
Type
Bati za mgongo mpana zinapatikana Kwa rangi mbalimbali, ukitaka rangi ya kijani utaipata, ukihitaji blue, charcoal grey, brick red, dark coffee , carrots pia utapata. Karibu sasa nikuhudumie.