Hii Bati Ina Upana Wa 107.5cmz Ndiyo Upaana Wa Juu Kabisa.
Dar es Salaam, Temeke, 03/06
2 views
Hii Bati Ina Upana Wa 107.5cmz Ndiyo Upaana Wa Juu Kabisa.
+1
Other
Type
Hii ni bati ya mgongo mpana rangi- ya charcoal grey chengachenga. Hii Ina upana wa 107.5cm ndiyo upana wa juu kabisa. Na hii utajipatia Kwa br ya mita moja ya 23,000 tu , na utakatiwa Kwa vipimo ulivyo navyo, ni moja ya bati nzuri sana.