Bati Za Chengachenga Ni Bora Kwa Muonekano Mzuri Wa Paa Lako
Dar es Salaam, Temeke, 15 hours ago
26 views
Bati Za Chengachenga Ni Bora Kwa Muonekano Mzuri Wa Paa Lako
+1
Other
Type
Hizi ni bati pendwa kutokana na muonekano wake wa kipekee wa zile chengachenga. Njoo nawewe uchukue uone namna paa lako litakavyokuwa. Ukiachana na rangi ya Charcoal grey pia zipo rangi zingine; coffee, carrot, brick red nakadhalika. Karibuni sana.