Forever Kids

Posted yesterday, 01:16
Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
87 views
Brand New
Condition
Other
Type
Faida atakazo pata mtoto kwenye bidhaa yetu ya forever kids.
1. Inasaidia kuwapa watoto vitamin na madini muhimu kwa afya njema na kuboreshe mfumo wa kinga na hivyo kuuwezesha mwili kupambana na magonjwa.
2. Inasaidia kuwarejeshea watoto hamu ya kula na hivyo kuwapa virutubisho zaidi na kuboresha afya.
3. Ipo kwenye mfumo wa pipi hivyo kufanya iwe rahisi kwa watoto kuvitafuna na kuvipenda.
4. Haina rangi ya kutengenezwa wala preservatives zozote.
5. Inaweza kutumiwa na watu wazima pia.
Ina tembe 120 ambazo zinaweza kutumika kwa miezi miwili kwa mtoto wa miaka 2 mpaka miaka 4 watumie tembe mbili kwa siku chini ya usimamamizi wa mzazi na kwa watoto wenye umri zaidi ya miaka 4 na watu wazima watumie vidonge vinne kwa siku.
  • Forever Kids
  • TSh 41,000
    Last seen 1 day ago
    0764951405
    Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

    Similar adverts