Dr. john pombe joseph magufuli.
na ally p kaskasi.
tumaini la wanyonge lililopotea.
alikuwa ni rais mchapakazi haswa. mzarendo aliyeipenda kwa dhati nchi yake na kuitetea kwa uwezo na nguvu zote. alikuwa ni mtetezi wa kweli wa watu wa hali ya chini si kuwatetea kwa maneno tu na blabla, mbali kwa vitendo.
alidhamiria kwa dhati kuijenga na kuinyanyua tanzania iwe na muonekana na uchumi wa kuridhisha.
katika kitabu hiki utaweza kujua mengi aliloyoyafanya wakati wa uhai wake kwan matendo yake na hotuba zake ni nzuri na bado zinaishi mpaka leo.
tutakukumbuka daima.
hardcopy tsh 10,000 /)=
tunapatikana tabora mjini na nzega mjini pia tunasafirisha mikoa yote tanzania na nchi jirani kwa uaminifu kabisa.
mawasiliano076XXXXXXX