Kiwanja kizur sana cha makazi na biashara , kipo mita 90 kutoka chuo cha muhimbili, waweza jenga hosteli wanafunzi ni wengi wanauhitaji wa kupanga, kipo mita 800 kutoka barabara kuu ya moro dodoma au kihonda mizani ya zamani
Nauza mashamba heka 5 heka moja milion 1.5 Hombolo karibu na chuo cha Hombolo ,kutoka kwenye mashamba hadi Hombolo ni kilometa 1.5 pia mashamba yapo karibu na shule mpyaa inayojengwa Hombolo
kwenda site unachangia 10000 ya mafuta