Karibu Katika Ulimwengu Wa Kiingereza by Eric Z. Manzi Part
Tabora, Tabora Urban, 23/08
1 views
Karibu Katika Ulimwengu Wa Kiingereza by Eric Z. Manzi Part
+1
Brand New
Condition
Books
Type
Other
Genre
59
Number of Pages
Paperback
Format
Delivery
Tabora Region
1 day
Free of charge
Across country
1-2 days
TSh 2,000 - 5,000
Store address
Tabora Region • Tabora Urban
Tabora mjini stend ndogo
Open now
• Mon - Sun, 01:00-12:00
Tabora Region • Nzega
Ntinginya Street (kilimanjaro block)
Closed now
• Mon - Sun, 00:00-01:00
Welcome to the world of english language by eric z. manzi
hii ni sehemu ya tatu, ni kitabu chenye mwendelezo wa mada muhimu katika kujifunza kiingereza
kitabu hiki pamoja na vya sehemu ya kwanza na ya pili mwandishi amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutumia si njia rahisi tu za kumwezesha mtu kujua kiingereza kwa kuongea, kusoma na kuandika bali pia kuweka mada ambazo ni muhimu katika kiingereza.
kitabu hiki kinadhihirisha umahiri wa mwandishi katika kuwafundisha watanzania lugha ya kiingereza kwa kutumia tafsiri ya lugha mama-kiswahili. hakika wengi wamenufaika na mbinu hiyo.
pata nakala zote tatu umalize kiu yako
hardcopy 5000
dm / call +
f2a bookshop
"we move together"