Toyota raum new model inauzwa ipo tabora
gari ni nzima sana
ukubwa wa engine cc 1490
ina tair mpya
engine na gearbox safi sana
haija wahid kurudiwa rangi
gari ipo tabora piga sim namba au
kwa maelezo zaidi
Gari iko katika hali nzuri kabisa, haina shida yoyote ile, injini na kila kitu bado iko vizuri kabisa.
popote unaletewa tukifikia makubaliano na kufanya nusu ya malipo
The area is at Tabora urban in the street of ipuli the area sorounded with all necessary facilities such as water supply eletrical supply and nearby road