Nyumba inauzwa mahali: tabata kinyerezi(madukan saba) ukubwa wa kiwanja: 770 sq. m namba ya vyumba: 3masterbedrooms, sebule, jiko, choo cha jumuiya na stoo. huduma: umeme na maji yapo. (negotiable).
Bonge la nyumba linauzwa mahali lilipo tabata bei mil 190 nyumba ina title deed nyumba inavyumba 3 vya kulala sebule jiko stoo daining parking kubwaa karibuni
Nyumba nzuri sana inauzwa
loc : tabata barakuda(karibu na kitambaa cheupe)
area : ~sqm 525
pprice : mil 190
umiliki : hati
_________________________________________
cont.
call whatsapp &sms kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>>
email
insta @excela_and_properties
fb joshua
__________________________________________________________________
hii sio ya kuikosa, ... ! karibu ukague utupe offa yako... .
.
.
sifa:-
.
-3bedrooms 1 self
-kitchen
-dinning
-sitting room
-public toilet
huduma zote zipo... gharama ya kupelekwa site ni sh elf 20
____________________________________________
mahitaji yako ya nyumba / vyumba/maeneo ya biashara ... ya kupanga na kununua... mashamba/viwanja/ magari nk ... usisite wasiliana nasi haraka
Nyumba inavyumba 4 master, sitting room, dining room, store, kitchen, public toilet, ukubwa wa eneo ni sqm 1800 eneo ni kubwa sana na mahali ilipo waweza wekeza hapartimenti za wapangaji, hotel, hospital, nk nyumba ipo mahina halayans
Nyumba inauzwa na bank ipo tabata segerea/ mbuyuni njiapanda ya kwenda kinyerezi na majumba sita... mtaa msikitini... ina vyumba vinne vyote vina wapangaji.
ukubwa : sqmt 1000
umiliki : hati ya mauziano
loc. tabata segerea mbuyuni.
__________________________________________________________________
contac
call, whatsapp and sms
e.mail:
insta: @excela_and_properties
__________________________________________________________________
hii sio ya kuikosa, ... ! karibu
kupelekwa site elfu 20 .
. ____________________________________________
Iko buhongwa orimpic inanyumba vitatu vyote master pia kuna nyumba nyingine ya chumba na sebule pia na single vilevile kuna nyingine inayotumika kama banda la kuku, store na jiko hatimiliki ipo
Nyumba inauzwa na bank
loc: tabata barakuda dar
eneo ~ sqm 1000+
umiliki : sales agreement
bei : mil 45 offa yako inasikilizwa
nyumba ni ya kizamani lkn eneo linafaa sana kwa shughuli mbalimbali
_________________________________________
call whatsapp &sms
email
insta @excela_and_properties
fb joshua
__________________________________________________________________
hii sio ya kuikosa, ... ! piga simu ukague...
.
-3bedrooms 1 self
-sitting room
-public toilet
-dinning
-kitchen
kiwanja ukubwa ~ sqm 1000+ umiliki serikali za mtaa
eneo zuri linafikika na huduma zote zipo
____________________________________________
mahitaji yako ya nyumba / vyumba/maeneo ya biashara ... ya kupanga na kununua... mashamba/viwanja/ magari nk ... usisite wasiliana nasi haraka
Nyumba inauzwa iko buhongwa inavyumba vitatu sebule jiko stoo master ukubwa wa eneo ni SQM 900 imewekewa Vigae ndani kote madilisha ni vioo kote kiujumla nyumba ni nzuri umeme maji barabara Hadi mlangoni
Location wazo hill pale pale
zingatia picha kuna maelezo
umeyaelewa nipigie kuja kuona
service charge elfu 30👈🏽zingatia.
mteja serious nipigie tuanze mwaka na nyumba mpya... 🎉
Nyumba inauzwa
mahali: tabata kinyerezi(madukan saba)
ukubwa wa kiwanja: 770 sq. m
namba ya vyumba: 3masterbedrooms, sebule, jiko, choo cha jumuiya na stoo.
huduma: umeme na maji yapo.
(negotiable)
Nyumba ina eneo kubwa,,zaidi ya nusu kiwanja kimebakia..
Kuna tofari kama elfu moja zimebaki..
Eneo lina minazi minne,,,,
Kuna kisima kirefu utatakiwa kufunga pump tu,,
Tiles kote,,
Gpsum kote,,,
Aluminum madirisha yoote,,,
Nyumba inauzwa
sqm : 400
loc : mbagala
umiliki : sales agreement,
-4 bedroom
-sitting room
-public toilet
-kitchen
umiliki serikali za mtaa
eneo zuri linafikika na huduma zote zipo
karibu
4 bedrooms/1master.
sitting room/dinning room
bathroom + toilet/ office
back yard/ parking space.
nyumba ipo mbeya mjini kila kitu tayari kasoro kufanya tu finishing na kuhamia. (haina dalali)
Nyumba inauzwa
million 28
zingatia imetangazwa na mimi: dalali.
Nyumba ipo kijichi karibu na kanisa la kkkt.
Haina mgogoro,,ipo barabarani panafaa kwa biashara kama unavyoona hapo.
Nyumba ina vyumba 4,,kimoja chumba na sebule,,choo public,,frem mbili za biashara,,nyumba ina hatimiliki