tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanawake
  4. Mifuko ya Wanawake
  5. Mifuko ya bega
  6. Pl Power Mifuko ya bega
Zanzibar, masaa 7 yaliyopita
1 maoni

BEGI IMARA PL POWER Original - / Shule / Safari - Zanzibar

+1
Mifuko ya bega
Aina
Unisex
Jinsia
Chapa Mpya
Hali
Black
Rangi
Nyingine
Vifaa vya nje
Kisala
Vifaa vya bitana
BEGI IMARA SANA PL POWER - ORIGINAL! Watu wa Zanzibar na Dar mpo? Begi hili limefika! Hili ni begi la kudumu, si la kuchanika chanika. Material yake ni Canvas nzito isiyoingiza maji - mvua ikinyesha vitabu/laptop viko salama. SIFA ZAKE: Mifuko 4 mikubwa + 2 ya pembeni ya chupa ya maji Inabeba Laptop inch 15, vitabu 6-8, na nguo za safari Mikanda ya mgongoni imara na laini - haichubui mabega Zipu zake ni chuma ngumu, haziharibiki haraka Ndani kuna mifuko midogo ya siri ya pesa/sim Rangi: Nyeusi- Hai Marmasi haraka
BEGI IMARA PL POWER Original - / Shule / Safari - Zanzibar
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif