tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Viongeza Mfumo wa Kinga
  5. Ulcer Vitamini na virutubisho
Zanzibar, Mjini Magharibi, 29/05
1 maoni

Vidonda Vya Tumbo

+1
Edmark International
Chapa
Viboreshaji vya Mfumo wa kinga
Aina
Antioxidant
Viungo Amilifu
Kioevu
Uundaji
Wanawake
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Haina ladha
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Kabla ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
VIDONDA VYA TUMBO, (Peptic ulcers). Vidonda vya tumbo (Peptic Ulcers) ni ugonjwa unaompata mtu ambapo kunatokea vijitundu au michubuko katika kuta za ndani za viungo vya mfumo wa uyeyushaji chakula. Utajuaje kama una VIDONDA VYA TUMBO, (Peptic ulcer) •Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. • Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano na kuacha maumivu makali •Kichefuchefu •Kiungulia •Tumbo kujaa gesi •Tumbo kuwaka moto •Maumivu makali sehemu kilipo kidonda. •Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi. • Kutapika nyongo. •Kutapika damu au kuharisha. •Kukosa hamu ya kula. •Kusahahu sahau na kupatwa na hasira bila sababu
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif