tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Viongeza Mfumo wa Kinga
Zanzibar, Mjini Magharibi, 29/05
1 maoni

Package Ya Kuondoa Acid Tumboni Pamoja Na Kutibu Alcers

+1
1
Edmark International
Chapa
Viboreshaji vya Mfumo wa kinga
Aina
Antioxidant
Viungo Amilifu
Poda
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Kahawa
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Nyingine
Wakati wa kuchukua
Nyingine
Furushi
Uwasilishaji
Nchini kote
1-2 mchana
Bila malipo
ACID/TINDIKALI YA TUMBO (GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE) Hili ni tatizo linalotokea katika mfumo wa mmeng'enyo Inayosababisha hitilafu ya chakula au maji kurudi katika koo la chakula (umio) mara baada ya kuwa chakula Hiko kimeshamezwa.Au Ni kitendo cha kupanda kwa acids (tindikali) ya tumbo hadi kwenye Koo/Umio la chakula kwa muda mrefu na matokeo yake husababisha kiungulia (HEARTBURN) Ili kuelewa vizuri tatizo hili linavyotokea tunatakiwa kujua vizuri jinsi chakula kinavyofika tumboni. Kawaida Mara baada ya mtu kutafuna chakula au kunywa maji,chakula husafirishwa kupitia mrija wa chakula (Esophagus) hadi tumboni lakini juu kidogo kati ya tumbo na mrija huu wa chakula kuna kizuizi kilicho na sura ya bangili ( lower esophageal spincher ) kibangili hiki hufanya kazi ya kuzuia chakula kisurudi mdomoni au kwenye koo...
TSh 250,000

TSh 200,000

≥ vipande 5
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif