tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Kalsiamu
  5. Chocolate Vitamini na virutubisho
Zanzibar, Mjini Magharibi, 29/05
1 maoni

Cocollagen+Bubble C+Scrub

+1
Edmark International
Chapa
Virutubisho vya Mifupa, Pamoja na gegedu
Aina
Antioxidant
Viungo Amilifu
Poda
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Chocolate
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Kabla ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Nyingine
Furushi
Nyingine
Aina ya Virutubisho vya Mifupa na Cartilage
Uwasilishaji
Nchini kote
1-2 mchana
Bila malipo
Program ya urembo wa ngozi wa siku 20... Ngozi zetu ni kama kioo .zinaonesha kiwango cha afya tulichonacho kutoka ndani kuja nje .hukinga na kufunika miili yetu .kwa hiyo ni muhimu kuiangalia kila wakati .protein ya collagen inatengeneza ngozi zetu kwa 70% inaipa ngozi elasticity na muonekano, kuipa uimara na uwezo wa kubakia na unyevu nyevu ikipungua hufanya ngozi kuwa kavu na kujikunja kunja " PROGRAM YA UREMBO WA NGOZI " Ina mjumuisho wa COCOLLAGEN anti-aging Chocolate tea (20sachets) na BUBBLE C yenye calcium (20sachets) COCOLLAGEN inarutubisha ngozi kuifanya kuwa imara kuondoa makunyanzi pamoja na madoa doa kwenye ngozi na kuipa mng'ao wa ujana wenye afya wakati BUBBLE C inachochea uzalishwaji wa Collagen mwilini ...
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif