*15AZ-600A PROFESSIONAL SPEAKER - 600W ORIGINAL!*
Spika kali ya 15 Inch kwa ajili ya Mid Bass safi na yenye nguvu!
✓ Model: 15AZ-600A Original Speaker
✓ Power: 600W - Nguvu ya uhakika
✓ Frequency: 45Hz - 3500Hz - Bass mzito na sauti safi
✓ Voice Coil: 4 Inch (100mm) - Copper ya kudumu
✓ Impedance: 8 Ohms - Inafaa na Amp zote
Zanzibar - Mikoani Tunatuma
Stock Ipo!
Wasiliana nasi sasa!