tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na viwanja vya kuuza
  4. Ardhi ya Makazi Inauzwa
Kilosa, Morogoro, Vidunda, 16/10
8 maoni

Huzaji Wa Eneo

+1
Ardhi ya Makazi
Aina
2800sqm
Mita za mraba
Makazi
Matumizi ya Sifa
Paved Road
Barabara ya Ufikiaji
Haki ya Makazi
Kichwa
​ TANGAZO LA MAUZO YA KIWANJA – VIKINDU (PWANI) ​Anza ujenzi wako mara moja! Kinauzwa kiwanja kizuri kilichopo Vikindu, Pwani, chenye huduma zote muhimu na eneo tulivu la makazi. ​ Sifa za Kiwanja: ​Ukubwa: Futi 70 x 40 (Sqm 260) – Saizi nzuri ya kujenga nyumba ya familia. ​Huduma ya Maji: Maji yapo tayari ndani ya kiwanja. ​Huduma ya Umeme: Umeme upo majirani wote wanaozunguka kiwanja. ​Umbali na Usafiri: ​Dakika 5 tu kwa Bodaboda kutoka Barabara Kuu na Stendi. ​Dakika 20 tu kwa miguu. ​Majengo: Kina chumba kimoja cha hifadhi/kitalu ambacho kitakusaidia kuhifadhi vifaa vyako vya ujenzi mara moja. ​Hali ya Eneo: Hakina mgogoro wowote, nyaraka zote za Serikali ya Mtaa zipo tayari. ​ Bei: ​Tsh 10,00,000 (Maongezi yapo kwa mnunuzi aliyetayari) ​ Mawasiliano: ​
Huzaji Wa Eneo
TSh 10,000,000per SqF
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif