tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Consoles za Mchezo wa Video
  4. Consoles za Mchezo wa Video
Dar es Salaam, Temeke, 21/05
8 maoni

Tunauza Ps3 Bora Kabisa Toka Uk

+1
Dashibodi za Mchezo
Aina
Sony
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Sony PlayStation 3
Aina ya Dashibodi
GB mia tano
Hifadhi ya Ndani
Je unahitaji ps2 ps3 ps4 na ps5 bora kabisa kwa ajili ya kazi au binafsi?karibu sana dukani kwetu upate mashine bora zaidi na za uhakika ukapige kazi na mashine zisizo na stress071XXXXXXX. tunauza ps bora mashine za uhakika kwa kazi au home.unapata mashine yenye games ndani kabisa pamoja na hdmi cable power cord pads 2 mpya kabisa biashara zetu zote zinafanyika ofisini kabisa kwa uwazi na uaminifu mkubwa.kwa wale wa mikoani tunatuma kwa uaminifu kabisa au kama una ndugu yake anakuja kukuchukulia mzigo wako. pia kuna games za ps4 ps3 ps2 nyingi mno, list ni ndefu sana. kwa mawasiliano zaidi071XXXXXXX
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif