tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Consoles za Mchezo wa Video
  4. Vidhibiti vya mchezo
  5. Sony PlayStation
Dar es Salaam, Temeke, masaa 7 yaliyopita
1 maoni

PS4 Slim 500GB Original – Full Set Na Games

+1
Mdhibiti wa Mchezo
Aina
Sony
Chapa
Kutumika
Hali
Hapana
Kubadilishana inawezekana
ps4 slim 500gb inauzwa – full set nauza playstation 4 slim 500gb katika hali nzuri, inafanya kazi vizuri. vilivyopo kwenye seti: ps4 slim 500gb padi 2 (controllers zote mbili) hdmi cable power cable (waya wa umeme) waya wa kuchajia padi games 5: 1. fc 26 2. mortal kombat 3. god of war ragnarök 4. need for speed heat 5. call of duty offline console – cheza games bila kutegemea internet, kulingana na game husika. bei: tsh 550,000 kila kitu kipo kwenye seti. unapata console, padi zote mbili, nyaya zote na games tano. kwa maelezo zaidi au kufanya makubaliano ya ununuzi, wasiliana nami kupitia ujumbe au simu. mteja serious tu. karibu!
PS4 Slim 500GB Original – Full Set Na GamesPS4 Slim 500GB Original – Full Set Na Games
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif