Tata/changamano ya vitamini nyingi, Antioxidant, Vitamini B, Vitamini C (Ascorbic Acid), Aloe Vera, L-Arginine
Viungo Amilifu
Poda
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Berry
Ladha
Yote ya Asili, Kikaboni
Vipengele
Kabla ya Mazoezi
Wakati wa kuchukua
Fimbo
Furushi
Uwasilishaji
Dar es Salaam • Kinondoni
1 mchana
TSh 5,000
Nchini kote
1-2 mchana
TSh 10,000 - 15,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
Forever argi+ imetengenezwa kwa mixer ya matunda ya Cran berries pamoja na komamanga yenye ladha tamu na rangi nyekundu inapochanganyika kwenye kimiminika
Sachet Moja ya argi+ unapata 5mg ya l-arginine inayoongeza ufanisi wa kutengeneza nitric oxide inapoingia mwilini mwaki.
Nitric oxide hutanua mishipa ya damu na kuruhusu damu kusambaa vizuri mwili mzima kwanzia mishipa mikubwa mpaka midogo (capillaries)
Argi+ pia Ina vitamin D3 inayonyonya calcium kwenye damu na kuipeleja kwenye mifupa iwe imara zaidi
Ina fibre na vitamins kama B complex, D kwa manufaa mengi zaidi kwa wafanya mazoezi na kuimarisha Kinga ya mwili
Vitamin C ni kiondosha sumu mwilini ,hutunza ngozi na kuzuia Kasi ya uzee
Ni virutubisho kamili sio dawa za hospitali