Forever arctic sea ni mchanganyiko wa mafuta ya SAMAKI, Mafuta ya mizaituni pamoja na calamari
Hii Ina Omega 3 pamoja na Omega 9 kwenye Kila soft gel unayotumia either ni mtu mzima au mtoto
Ina mchanganyiko wa SAMAKI wa 4 maarufu kukupa omega 3 iliyobora zaidi, omega 3 ni chakula Cha ubongo kwa watoto kwanzia mdogo mpaka anapokuwa kufanya awe na uchangamfu, ukuaji wa ubongo kwa haraka, Kinga ya mwili, afya ya macho na ngozi
Omega 3 pia ni nzuri sana kwa watu wazima mana huboresha afya ya moyo kwa kuongeza kiwango Cha mafuta mazuri ndani ya mirija ya damu inayoyeyusha mafuta mabaya yanayoganda ndani ya mirija( Cholesterol).
Pia mtu mzima au wazee inasaidia sana kwenye Kinga, macho na kuboresha kumbu kumbu. Bidhaa hii Ina allergy kwa wasiotumja SAMAKI .