Oil press machine | mashine za kukamua mafuta za kisasa | tanzania
press machines za kisasa kwa ajili ya kukamua mafuta kutoka kwenye malighafi mbalimbali. mashine hizi zinafaa kwa wajasiriamali na wawekezaji wanaotaka kuanzisha au kukuza biashara ya uzalishaji wa mafuta.
malighafi zinazoweza kukamuliwa:
● alizeti
● karanga
● soya
● nazi
● korosho, kulingana na aina ya mashine na maandalizi ya
vifaa muhimu vinavyoambatana na mashine:
● heater — husaidia katika maandalizi ya malighafi na ukamuaji.
● double vacuum filter — kwa kuchuja mafuta.
● motor na starter — kwa kuendesha mashine.
sifa za oil press machine:
● uwezo tofauti wa uzalishaji kulingana na model.
● imeundwa kwa ajili ya shughuli za ukamuaji wa mafuta.
● inafaa kwa biashara ndogo hadi kubwa kulingana na uwezo wa mashine.