nyumba inauzwa – tandika, kichangani
unatafuta nyumba nzuri yenye sehemu 3 za makazi? nyumba hii inapatikana tandika, kichangani, na gari linafika mpaka eneo la nyumba.
partition ya kwanza
- chumba 1 cha master
- sehemu nyingine ina ukumbi na vyumba mara 2
- vyoo vyake
- maji na umeme wa kujitegemea
partition ya pili
- vyumba 2, kimoja ni master
- ac
- jiko
- ukumbi
- choo cha public
- maji na umeme wa kujitegemea
partition ya tatu
- vyumba 2, kimoja ni master
- ac
- jiko
- ukumbi
- choo cha public
- maji na umeme wa kujitegemea
ina sehemu 3 za makazi
kila partition ina maji na umeme wake
gari linafika mpaka kwenye nyumba
mahali: tandika, kichangani
bei ya nyumba: [150,000,000] maongezi yapo
mawasiliano068XXXXXXX