tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Kutafuta Kazi - CV
  3. Utunzaji wa Nyumbani na Kusafisha CV
Dar es Salaam, Temeke, 19/05/2025
6 maoni

Utunzi Wa Nyumba

+1
Aina ya kazi
Mkataba
Hali ya Ajira
Kuajiriwa
Jinsia
Wanaume
Umri
22
Elimu
Kidato cha nne
Bado Anasoma
Hapana
Ujuzi
Uwezo wa kuzungumza kwa hekima
Lugha
Kiswahili na kiingereza
Vyeti
Ndio
Mimi osca Boniface Michael mwenye umri wa miaka 22,ni na elimu ya kidato cha nne nilihitimu masomo yangu tangu mwaka 2021. Ninaomba kazi ya utunzi wa nyumba na usafi katika kampuni au nyumba mtu binafsi,ninahaidi kuwa mwaminifu na mwenye bidii katika majukumu yangu,nipo tayari kufanya kazi kwa hali yoyte na mahali popote.asante
Utunzi Wa NyumbaUtunzi Wa Nyumba
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usifichue maelezo yako ya kibinafsi
  • Fanya utafiti wako kabla ya kumwalika mtu yeyote kwa mahojiano
  • Usifungue linki ambayo haijajumuishwa kwenye wasifu wa anayetafuta kazi
  • Fanya mahojiano katika mazingira salama na salama ya ofisi
frame_left.gif