keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-18:00
Tunauza , kutengeneza pamoja na kupokea oda za vitanda aina zote ,
vitanda vyetu ni imara zaidi na ni bora kwa matumizi ya sehemu yoyote ile ,nyumbani ,hotelini n.k
pia tunafanya delivery mikoa yote
gharama zetu zi nafuu mno karibuni sana