keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-18:00
Tunauza, kutengeneza, kufanya repair, pamoja na kupokea order za sofa sets aina zote pamoja na furniture aina zote, furniture zetu ni bora na tunatengeneza kwa material zenye ubora wa hali ya juu na zinapatikana kwa gharama nafuu kabisa, karibuni sana