keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-18:00
Tunauza, kutengeneza, kufanya repair, pamoja na kupokea order za sofa set's aina zote pamoja na furniture aina zote za majumbani na maofisini, furniture zetu ni bora na tunatengeneza kwa material bora na kwa gharama nafuu kabisa, karibuni sana