keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-18:00
Tunauza, kutengeneza, kufanya repair, pamoja na kupokea order za kitchen cabinet's aina zote za majumbani na maofisini ,tuanatumia mbao ngumu kama mninga, mkongo etc.mafundi wetu ni wauhakika na gharama zetu ni nafuu kabisa karibuni sana