tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mbegu na Mbolea
Dar es Salaam, Temeke, 28/05
20 maoni

Sea Moss (Mwani)

+1
Nyingine
Aina
Faida kuu za mwani (Sea Moss): 1. Kuimarisha kinga ya mwili • Ina madini ya zinki, selenium na vitamini C ambazo husaidia mwili kupambana na maradhi na maambukizo. 2. Kuongeza nguvu na afya ya mwili • Ina protini na madini muhimu (kama iron, magnesium, potassium) yanayoongeza nishati na kusaidia uchovu. 3. Afya ya ngozi na nywele • Ina collagen ya asili na madini yanayosaidia ngozi kuwa laini, nywele kuota vizuri na kuzuia chunusi. 4. Kusaidia afya ya ubongo na mfumo wa neva • Ina iodine na omega-3 ambazo huchangia katika kumbukumbu, umakini na hisia thabiti. 5. Kuondoa makohozi na kusaidia mfumo wa upumuaji • Hupunguza kikohozi, mafua, pumu na matatizo ya koo kwa kuwa inasaidia kutoa makohozi mwilini. 6. Kuimarisha mifupa na meno • Ina calcium, phosphorus na magnesium zinazosaidia kuimarisha mifupa na meno.
Sea Moss (Mwani)Sea Moss (Mwani)Sea Moss (Mwani)Sea Moss (Mwani)Sea Moss (Mwani)Sea Moss (Mwani)Sea Moss (Mwani)
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif