tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Maganga ya shamba
Dar es Salaam, Temeke, siku 1 iliyopita
49 maoni

Vizimba Vya Kuku

+1
4
Vizimba vya kuku
Aina
Chapa Mpya
Hali
Kijivu
Rangi
Yes
Udhamini
12month
Kipindi cha Udhamini
Uwasilishaji
Nchini kote
1-2 mchana
Bila malipo
Je? bado kuku wako wanateseka na magonjwa au kula mayai. ongeza uzalishaji wa mayai pia hata nyama kwa kufugia kwenye vizimba (cages) za kisasa. hii ni kubwa kuliko sasa tumeleta cage zenye material imara na zisizo shika kutu. faida za cage ni kupunguza magonjwa kwa asilimia 90, kupunguza upotevu wa chakula hadi asilimia 98% kuku hawatakula mayai na kuvuna mayai safi na salama pia kwa asilimia kubwa, nirahisi kusimamia mradi wako na kufuatilia kila kuku wa ukaribu tutakufungia cage hata za kuku zaidi ya laki moja. ikumbukwe ukinunua cage zaidi ya 5 tunakufungia bure na ukinunua cage zaidi ya 10 usafirï na kufunga ni juu yetu. tupo dar es salaam
Vizimba Vya Kuku
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif