Power tiller kobuta japan
RT 140
inalima ekari 5-10 kwa siku
inatumia mafuta 1lt kwa ekari 1
inauwezo wa kubeba mawe,mchanga,matofali,magunia ya mahindi,mpunga n.k
vifaa utakavyopata kwenye powertiller
tahiri nne (4) za chuma na plastic
jembe/disk (3)
jembe la aro/plau (1)
reki ya kuvurugia (1)
planter ya kisasa inayopanda mbegu kwa haraka na usahihi kwa mpangilio
tunapatikana dar es salaam
mawasiliano nasi whatsapp || tupigie071XXXXXXX