tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, kilimo na shughuli za mashambani
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine za Kukoboa
  5. Thresher Mashine na Vifaa vya Shamba
Imefaulu
Dar es Salaam, Temeke, siku 1 zilizopita
5 maoni

Paddy Thresher Machine | Mashine Ya Kupiga Na Kupepeta Mpunga

+1
Shellers & Threshers
Aina
Chapa Mpya
Hali
Orange
Rangi
20kg
Uzito
Petroli
Chanzo cha Nguvu
7V
Volteji
200kW
Nguvu
1500kg/h
Uwezo wa Uzalishaji
Yes
Udhamini
12month
Kipindi cha Udhamini
Paddy thresher machine | mashine ya kupiga na kupepeta mpunga | tanzania paddy thresher machine yenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya kupiga na kupepeta mpunga kwa haraka na ufanisi mkubwa. sifa za mashine: ● uwezo wa kupiga na kupepeta gunia 20–27 kwa saa ● matumizi ya mafuta lita 1.6 kwa saa 3 ● ina chekeche 3 ● ina feni 2 ● imetengenezwa vietnam ● imara na ya kudumu ● rahisi kutumia inafaa kwa: ● wakulima wa mpunga ● vikundi vya wakulima ● biashara za huduma za kilimo ● mashamba ya mpunga ya ukubwa wa kati na makubwa faida za kutumia: ● huongeza kasi ya uvunaji ● huokoa muda na nguvu kazi ● hupunguza upotevu wa mazao ● huongeza ufanisi wa kupiga na kupepeta mpunga ● hufanya kazi ya uvunaji kuwa rahisi zaidi huduma zetu: ● tunatuma mizigo mikoa yote tanzania ● ushauri wa kitaalamu bure ● bidhaa zenye ubora wa juu
Paddy Thresher Machine | Mashine Ya Kupiga Na Kupepeta MpungaPaddy Thresher Machine | Mashine Ya Kupiga Na Kupepeta Mpunga
TSh 2,200,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif