tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine na Vifaa vya Shamba
Dar es Salaam, Temeke, 08/06
45 maoni

Mixer Machine

+1
Mixer machine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Nyingine
Rangi
Yes
Udhamini
12month
Kipindi cha Udhamini
TUNAUZA FEED MIXER MACHINE (Mashine ya Kuchanganya Chakula cha Mifugo) Uwezo Mkubwa | Ubora wa Hali ya Juu | Matumizi Rahisi Capacity: Kilo 200–250 kwa mara moja Mashine maalumu kwa ajili ya kuchanganya chakula cha mifugo kwa ufanisi mkubwa Huchanganya chakula vizuri na kwa usawa Inatumia umeme wa majumbani (Single Phase) Ina mota yenye nguvu ya kuzungusha mashine bila shida Imetengenezwa kwa Stainless Steel – hailiki kutu kabisa Ina matairi, hivyo ni rahisi kusukuma na kuihamisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine Tupo Dar es Salaam Tunasafirisha mikoani kote kwa uwaminifu mkubwa Wasiliana nasi sasa: Usikose fursa hii ya kuboresha ufugaji wako kwa mashine ya kisasa na imara!
Mixer Machine
TSh 2,200,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif