tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, kilimo na shughuli za mashambani
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine za Kutotoleshea Mayai
Imefaulu
Dar es Salaam, Temeke, 29 min ago
1 maoni

Mashine Za Kutotolesha Vifaranga Za BODY GUMU

+1
Kiangulio ya yai
Aina
Chapa Mpya
Hali
Nyeupe
Rangi
20cm
Urefu
12cm
Upana
20cm
Urefu
Stima, Betri
Chanzo cha Nguvu
176
Uwezo wa yai
12V
Volteji
Yes
Udhamini
12month
Kipindi cha Udhamini
Tunauza mashine za kutotoleshea vifaranga (incubator). SIFA 9 ZA HIZI MASHINE 1.zimetengenezwa na material magumu (hard board) 2.Ni imara sana na hudumu zaidi ya miaka 16. 3.Zinauwezo wa kuangua zaidi ya 98%. 4.Zinatumia umeme kidogo. 5.Zinakuja Zikiwa na hatchery bucket. 6.utapewa na torch ya kupimia yai kama Lina mbegu. 7.Zina warranty ya mwaka mmoja. 8.Zinajiendesha zenyewe (Hugeuza mayai/kucontrol joto na unyevu nyevu) 9.Utapatiwa ushirikiano 100% mpaka utakapo weza kujisimamia. Mawasiliano
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif