tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine za Kutotoleshea Mayai
  5. Mashine na Vifaa vya Shamba
Dar es Salaam, Temeke, siku 1 iliyopita
8 maoni

Mashine Ya Kuangulia Vifaranga ( Incubator )

+1
Kiangulio ya yai
Aina
Chapa Mpya
Hali
Nyeupe
Rangi
15cm
Urefu
7cm
Upana
15cm
Urefu
Stima, Betri, Nyingine
Chanzo cha Nguvu
100
Uwezo wa yai
12V
Volteji
Yes
Udhamini
12month
Kipindi cha Udhamini
Incubator ya solar & umeme – hakuna kukwama tena! je, unataka kuangua vifaranga kwa uhakika, hata umeme ukikatika? suluhisho liko hapa! tunauza mashine bora na ya kisasa ya kutotolesha vifaranga (incubator) kwa bei ya 350,000/= tsh tu sifa za mashine: inabeba mayai 60 inatumia solar na umeme wa kawaida automatic – inajiendesha yenyewe matumizi madogo ya umeme (80 watts / 12v) hutunza joto hadi masaa 8 endapo umeme ukikatika ina mfumo wa kupima yai lenye mbegu ufanisi wa kuangua hadi 98% inaangua mayai ya kuku, kanga na kware warranty ya mwaka 1 imara, salama na rahisi kutumia tunapatikana: dar es salaam wasiliana nasi sasa: usikose fursa hii! ongeza uzalishaji wako wa vifaranga kwa uhakika na faida zaidi
Mashine Ya Kuangulia Vifaranga ( Incubator )Mashine Ya Kuangulia Vifaranga ( Incubator )Mashine Ya Kuangulia Vifaranga ( Incubator )
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif