tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine za Kutotoleshea Mayai
Imefaulu
Dar es Salaam, Temeke, masaa 3 yaliyopita
14 maoni

Incubator Za Body Gumu ( Imara Sana )

+1
Kiangulio ya yai
Aina
Chapa Mpya
Hali
Nyeupe
Rangi
15cm
Urefu
8cm
Upana
15cm
Urefu
Stima, Betri
Chanzo cha Nguvu
12V
Volteji
Yes
Udhamini
24month
Kipindi cha Udhamini
Sasa zenye body ya chuma! imara • za kisasa • bei nafuu unatafuta incubator yenye ubora, uimara na uwezo mkubwa wa kuhifadhi joto? jipatie incubator zenye body ya chuma, zilizotengenezwa kwa material imara kwa ajili ya uanguaji wenye ufanisi mkubwa. body ya chuma imara zimetengenezwa kwa chuma imara kinachosaidia katika utunzaji wa joto na kuongeza uimara wa mashine. hutunza joto kwa zaidi ya masaa 72 endapo umeme utakatika, incubator zina uwezo mkubwa wa kuhifadhi joto kwa muda mrefu. full digital & automatic mashine hugeuza mayai yenyewe automatically, hivyo kupunguza usumbufu na kurahisisha kazi ya uanguaji. huangua aina mbalimbali za mayai zina uwezo wa kuangua aina mbalimbali za mayai kwa ufanisi mkubwa. tunatuma mikoa yote incubator za body ya chuma — imara, za kisasa na zenye ufanisi mkubwa!
Incubator Za Body Gumu ( Imara Sana )Incubator Za Body Gumu ( Imara Sana )
TSh 1,000,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif