tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Programu
  4. Programu
Dar es Salaam, Temeke, 15/08
6 maoni

macOS Tahoe Installation

+1
macOS Tahoe installation
Jina la Programu
Mfumo wa Uendeshaji
Aina
Mac
Jukwaa
USB
Umbizo
16
Toleo la Programu
64 bit
Toleo la Biti la Mfumo wa Uendeshaji
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
dar es salaam
06:00-18:00
Je, Mac yako bado inatumia toleo la zamani la macOS? Ni wakati wa kuipandisha hadi macOS Tahoe na kufurahia utendaji bora, usalama ulioimarishwa, pamoja na uwezo wa kutumia programu na teknolojia za kisasa. Tunakufanyia: Installation ya macOS Tahoe Kuhifadhi data zako kabla ya ku-install (ikiwa inawezekana) Kusafisha mfumo ili kuongeza kasi na utendaji Kuweka software muhimu baada ya installation Msaada baada ya huduma Inafaa kwa Mac nyingi zinazoweza kutumia macOS Tahoe (ikiwemo zinazohitaji mbinu maalum za usakinishaji pale inapohitajika). Huduma ya haraka, salama na ya kuaminika. Wasiliana nasi leo upate Mac yenye kasi zaidi, salama, na tayari kutumia programu za kisasa bila usumbufu! Pia tunafanya macOS upgrades, Windows installation, na tunapatikana kwa software mbalimbali za Mac na Windows. Karibu tukuhudumie!
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif