tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Programu
Dar es Salaam, Temeke, 15/08
4 maoni

macOS Sequoia Installation

+1
macOS Sequoia Installation
Jina la Programu
Mfumo wa Uendeshaji
Aina
Mac
Jukwaa
USB
Umbizo
64 bit
Toleo la Biti la Mfumo wa Uendeshaji
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
dar es salaam
06:00-18:00
Je, Mac yako bado inatumia toleo la zamani la macOS? Ni wakati wa kuipandisha hadi macOS Sequoia na kufurahia utendaji bora, usalama ulioimarishwa, pamoja na uwezo wa kutumia programu za kisasa. Tunakufanyia: Installation ya macOS Sequoia Kuhifadhi data zako kabla ya ku-install (ikiwa inawezekana) Kusafisha mfumo ili kuongeza kasi Kuweka software muhimu baada ya installation Msaada baada ya huduma Inafaa kwa Mac nyingi zinazoweza kutumia macOS Sequoia (ikiwemo zinazohitaji mbinu maalum za usakinishaji pale inapofaa). Huduma ya haraka na ya kuaminika.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif