HHiii gari ipo Tandika daresalaam inauzwa namba yake ni A ila mashine ni mpya kabisaaa haijaguswa inawafaa sana watu wa shule bei yake ni rakhisi sana milioni ishirini 20,000,000
Maongezi na punguzo lipo gari bodi ni mpya kabisaa na mashine ya sed kutoka dubai mpya kabisaa karibu kwa mwenyewe kwa namba zifuatazo071XXXXXXX