tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Sauti na Muziki
  4. Karaoke
  5. ECHO Vifaa vya Sauti na Muziki
Dar es Salaam, Temeke, masaa 2 yaliyopita
1 maoni

Sonashi Loudspeaker Subwoofer + Mic (Inafaa Shughuli) - TZS 150,000

+1
Loudspeakers & Subwoofers
Aina
Kutumika
Hali
Chapa
Inayotumika
Aina ya Amplification
50100watts
Nguvu ya Pato
Bluetooth, USB, Other
Muunganisho
Hapana
Kubadilishana inawezekana
Inauzwa Subwoofer kali na imara ya Sonashi yenye uwezo mkubwa wa kutoa sauti safi na bass ya kusisimua. Spika hii inafaa sana kwa matumizi ya nyumbani, sebreni, duka lako, au hata kwenye shughuli ndogo ndogo na matangazo kwa sababu inakuja na mic mbili (Mic 1 na Mic 2) pamoja na vidhibiti vya Mic Volume na Echo kwa ajili ya karaoke au MC. Inaunganisha kwa urahisi kupitia Bluetooth, USB, SD/MMC Card, na AUX. Kifaa kiko katika hali nzuri kabisa na kiko tayari kwa kazi. Wasiliana nami kwa maelezo zaidi au kuja kuichukua!"
Sonashi Loudspeaker Subwoofer + Mic (Inafaa Shughuli) - TZS 150,000Sonashi Loudspeaker Subwoofer + Mic (Inafaa Shughuli) - TZS 150,000Sonashi Loudspeaker Subwoofer + Mic (Inafaa Shughuli) - TZS 150,000Sonashi Loudspeaker Subwoofer + Mic (Inafaa Shughuli) - TZS 150,000
TSh 150,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif