tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Makazi Inauzwa
Tanga, Tanga City, masaa 14 yaliyopita
1 maoni

Kiwanja Kinauzwa – Kange Mbugani, Tanga

+1
Ardhi ya Makazi
Aina
599sqm
Mita za mraba
Makazi
Matumizi ya Sifa
Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Paved Road
Access Road
Cheti cha Kuishi
Kichwa
Location: Kange Mbugani, karibu kabisa na mwisho wa Daladala za route ya Mbugani. Ukubwa: 599 SQM Hali ya umiliki: Kimepimwa na kina Hati ya Wizara ya Ardhi. Kina msingi tayari – unaweza kuendelea na ujenzi mara moja. Kipo kwenye kona ya barabara, hivyo kina access nzuri na kinafaa sana kwa kujenga nyumba au biashara. BEI: TSH Mauzo ya moja kwa moja kutoka kwa mwenye kiwanja – HAKUNA DALALI. Mwenye nia ya kweli awasiliane nami kwa maelezo zaidi na kuja kukiona
Kiwanja Kinauzwa – Kange Mbugani, TangaKiwanja Kinauzwa – Kange Mbugani, TangaKiwanja Kinauzwa – Kange Mbugani, Tanga
TSh 15,000,000per Plot
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif