tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Matumizi Mchanganyiko Inauzwa
Mkuranga, Pwani, Tambani, siku 1 iliyopita
6 maoni

Shamba Linauzwa Tambani

+1
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
119400sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
50000
Ada ya Agenti
Shamba sasa limeshuka bei,kutoka milioni 550 bei ya awali hadi shilingi milioni 400,hii yoote kutokana na kuhitajika pesa ya chapchap. Shamba lipo Tambani kisiwani,mbele kidoogo tu mbagala mbande.Lipo kwenye barabara itokayo mbagala mbande inayoelekea mwanambaya kupitia Tambani. Lakini pia unaweza kupitia vikindu kisemvule hadi mwanambaya, halafu ndio urudi kulia kufuata barabara inayenda mbagala mbande Tambani. Shamba lina ukubwa wa hekari 29 Shamba limepimwa lina hati miliki. Karibu uje utembelee saiti. Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu
Shamba Linauzwa TambaniShamba Linauzwa TambaniShamba Linauzwa TambaniShamba Linauzwa TambaniShamba Linauzwa TambaniShamba Linauzwa TambaniShamba Linauzwa TambaniShamba Linauzwa Tambani
TSh 400,000,000per Plot
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif