Usambazaji wa Stima, Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Gesi, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Partially Developed
Hali ya Maendeleo
Gravel Road
Barabara ya Ufikiaji
Cheti cha Kuishi
Kichwa
**shamba kubwa la heka 96 linauzwa – kibamba, mkuranga**
tunakuletea fursa ya kipekee ya kununua shamba kubwa lenye ukubwa wa **heka 96**, lililopo kibamba, wilaya ya mkuranga, mkoa wa pwani.
**taarifa za shamba**
eneo: kibamba, mkuranga – pwani
ukubwa: heka 96 (acres 96)
umbali: kilomita 5 kutoka barabara kuu ya kilwa road
bei: tsh 8,000,000,000 (bilioni 8)
**bei inajadilika – maongezi yapo**
**fursa ya uwekezaji**
shamba hili lina ukubwa unaofaa kwa miradi mbalimbali ya uwekezaji kulingana na vibali na matumizi yanayoruhusiwa katika eneo husika, ikiwemo:
kilimo cha biashara na miradi ya kilimo
uwekezaji wa ardhi wa muda mrefu
miradi mikubwa ya maendeleo
makazi au shughuli za biashara kulingana na mipango ya matumizi ya ardhi
**wasiliana nasi**
simu/whatsapp255XXXXXXXXX