tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Burudani na Shughuli
  3. Vitabu na Michezo ya Jedwali
Tabora, Tabora Mjini, 23/08
1 maoni

Nilikuwa Konda Kwenye Daladala Ya Majini

+1
Chapa Mpya
Hali
Vitabu
Aina
Mfululizo
Genre
Watu wazima
Kiwango cha Umri
2021
Mwaka wa Uchapishaji
Karatasi
Umbizo
Uwasilishaji
Tabora Region
1 mchana
Bila malipo
Nchini kote
1-2 mchana
TSh 2,000 - 5,000
Anwani ya duka
Mkoa wa Tabora • Tabora Mjini
Tabora mjini stend ndogo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 01:00-12:00
Mkoa wa Tabora • Nzega
Ntinginya Street (kilimanjaro block)
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 00:00-01:00
NILIKUWA KONDA KWENYE DALADALA LA MAJINI BY Irine Ndauka. "Mimi nimesimamisha daladala vituo viwili au vitatu, wewe unasemaje nilisimama kila kituo na abiria wakawa wanapanda? Yaani abiria wapande mimi nisiwaone na wanasimama mlangoni? Si mahoka haya jamani" Alisema dereva wangu mpaka nikawaza kuwa, huenda ni kweli mimi nina matatizo yangu na sio daladala yengewe. Mbaya zaidi pamoja na kuwa tumepakia abiria wengi ambapo tungepata hata 40000 kutokana na ukubwa wa basi lakini chakushangaza niliambulia 7000 tu, japo nina uhakika abiria wote wamelipa nauli. Yakoje haya nilijiuliza huku nikiwa nimeishiwa nguvu... BOOKSHOP "we move together" Tunapatikana Tabora mjini stend ndogo na Nzega mjini mtaa wa ntinginya.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif