_vya_kulala#
inapangishwa # iko-dar-es-salaam tz
mahali-sinza mori ushuani
kodi tshs ml 5,000,000/=kwa mwezi
malipo ya miezi 6
iko peke yake kwenye fensi
kubwa ya kifamilia
yenye:-
vyumba 6 vya kulala, # viwili master sebule dinning jiko, lenye makabati stoo choo/bafu vya ndani public gypsum tiles slides windows umeme upo wa luku yake ac maji yapo ya bomba 24hrs cars parking space ipo pervingblocks fencedhouse
garden