BASILY CAR CONNECT 🚘
Tunakunganisha na Gari Sahihi.
Sisi ni madalali wa magari tunaowaunganisha wanunuzi na wauzaji wa magari mbalimbali kulingana na mahitaji na bajeti zao.
Huduma zetu:
* Kutafutia wateja magari.
* Kuunganisha wanunuzi na wauzaji.
* Kusaidia kupanga miadi ya kuangalia magari.
*karibu kuona gari kabla ya kununua.
*Tunakusaidia na usajili
Tunathamini uaminifu na huduma bora.
WhatsApp