tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi

SHINE ELECTRONICS

Mpya kwenye Jiji
Mara ya mwisho kuonekana siku 2 zilizopita
Shine Electronics ni duka linalouza vifaa vya electronics na appliances za nyumbani kwa bei nzuri. Tunapatikana Kariakoo, Dar es Salaam, na tunahudumia wateja kwa uaminifu na huduma bora.
frame_left.gif