Kiwanja hiki kinapatikana mkoa wa Dodoma wilaya ya Kongwa , kata ya Iduo kijiji cha chang'ombe kiwanja hiki kina ukubwa ufuatao magharibi Hatua 42 na 32, na mashariki Hatua 32 na marefu yake ni hatua 50. Kinaweza kutumika kama shamba na kama makazi au uwekezaji mwingineo unaofaa eneo hilo.