viwanja vinapatikana kiserian round about – arusha!
unatafuta kiwanja kwa ajili ya uwekezaji au kujenga biashara yako? fursa hii ni kwa ajili yako!
eneo: kiserian round about, east africa road, uelekeo wa njiro, arusha.
viwanja vinafaa kwa:
• maduka na fremu za biashara
• ofisi na majengo ya kibiashara
• nyumba za makazi au uwekezaji
wekeza ardhi leo, jenga thamani ya kesho!
usikose fursa ya kumiliki kiwanja katika eneo lenye fursa za maendeleo na biashara.
piga simu sasa:
daima properties
building today, securing tomorrow, creating legacy.